Saturday, 2 May 2015

Kaimu Mkurugenzi wa Mtendaji wa Manispaa ya Iringa Hobokelo Mwambeso akimkabidhi Romana Kitinusa vifaa vya kulinia asilia vilivyotolewa na uongozi wa Kikundi cha Mazingira Mafifi (Kimama Group) kwenye hafla ya kufinga mradi wa ufugaji Nyuki na upandaji miti unaofadhiliwa na Mfuko wa Mistu Tanzania.

Monday, 10 February 2014

MOJA KATI YA KAZI YA KIKUNDI CHA MAZINGIRA MAFIFI NI UFUGAJIWA NYUKI.





MOJA YA CHANGAMOTO YA KIKUNDI NI USAFIRI
MWENYEKITI JOSHUA NYALUSI AKIENDA KUUZA BIDHAA NA BAISIKELI


AINA ZA MAUA MBALIMBALI YANAYOPATIKANA KATIKA KIKUNDI CHA MAZINGIRA MAFIFI





Wednesday, 29 January 2014

ZIARA YA WAGENI KUTOKA NCHINI MAREKANI KUTEMBELEA KIKUNDI CHA KIMAMA KIHESA IRINGA

Mhasibu wa kimama Group Bw. Clayson Kinyaga  wa tatu kutoka kushoto akiwa na wageni waalikwa waliotoka Nchini Marekani katika kanisa la Lutheran Nduli kwa ajili ya zoezi la upandaji wa miti