Kaimu Mkurugenzi wa Mtendaji wa Manispaa ya Iringa Hobokelo Mwambeso akimkabidhi Romana Kitinusa vifaa vya kulinia asilia vilivyotolewa na uongozi wa Kikundi cha Mazingira Mafifi (Kimama Group) kwenye hafla ya kufinga mradi wa ufugaji Nyuki na upandaji miti unaofadhiliwa na Mfuko wa Mistu Tanzania.