Wednesday, 29 January 2014

ZIARA YA WAGENI KUTOKA NCHINI MAREKANI KUTEMBELEA KIKUNDI CHA KIMAMA KIHESA IRINGA

Mhasibu wa kimama Group Bw. Clayson Kinyaga  wa tatu kutoka kushoto akiwa na wageni waalikwa waliotoka Nchini Marekani katika kanisa la Lutheran Nduli kwa ajili ya zoezi la upandaji wa miti










1 comment:

  1. hongereni sana kimama group kwa program yenu ya uhifadhi mazingira kwa njia ya usambazaji na upandaji miti..................kwa kufanya hivi tutaurudisha
    uumbaji wa Mungu ambao kwa njia mbalimbali tumeuharibu kwa kupoteza asili yake,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

    ReplyDelete